Posted on: October 16th, 2025
Leo Tarehe 16 Oktoba 2025, Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeadhimisha kilele cha Juma la Elimu la Watu Wazima, Elimu Nje ya Mfumo Rasmi, na Elimu Jumuishi kwa mafanikio makubwa yanayoonesha dhamira...
Posted on: October 16th, 2025
Mradi mkubwa wa uchimbaji wa visima 150 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa ya kilimo katika mkoa wa Geita. Visima hivyo vitachimbwa katika Halmashauri zote za Mko...
Posted on: October 14th, 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, ikiongoza miongoni mwa Halmashauri zote nchini. Ushindi huu ni ushahidi wa mshikamano, ushiriki...