Posted on: October 5th, 2018
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amesema Halmashauri ya Mji wa Geita imeongoza kwa ukusanyaji mapato kwa mwaka wa fedha 2017/18 kati ya halmashaur...
Posted on: August 16th, 2018
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, amewahimiza watafuta fursa za uwekezaji wazingatie kuwekeza kwenye maeneo yenye uhakika wa kupata malighafi na soko, na moja...
Posted on: August 15th, 2018
MJI wa Geita ndiko yaliko makao makuu ya Mkoa wa Geita na hivyo kuwa uso wa mkoa huu uliojaaliwa kuwa na madini ya dhahabu kila mahala. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita,MHANDISI MODEST APOLIN...