• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Agriculture, Livestock and Fisheries

Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ni moja ya idara zilizoko katika Halmashauri ya Mji wa Geita kutokana na ukweli kwamba asilimia 77 ya wakazi wa Halmashauri ya Mji wanajishughulisha na Kilimo, na kwamba kilimo kinachangia asilimia 73 ya pato la Halmshauri.

Halmashauri ya Mji Geita ina jumla ya hekta 51,600 zinazofaa kwa kilimo lakini mpaka sasa eneo linalolimwa ni hekta 21,200 tu. Halmshauri ya Mji Geita inayo mabonde yenye jumla ya hekta 1,560 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kwa mazao ya mpunga,mbogamboga na matunda.

 Tunazo fursa nyingi za kutekeleza kilimo ikiwemo uwepo wa vyanzo vya maji kwa ajili ya upatikanaji wa maji,ardhi yenye rutuba,wataalam, masoko ya bidhaa mbalimbali za kilimo na uongozi imara ambao wanatoa  mchango mkubwa katika sekta ya kilimo ikiwemo kutafuta wafadhili watakaowasaidia wakulima kuzalisha zaidi na kuongeza kipato chao.

 Zipo changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya kilimo katika Halmashauri ya Mji. Mojawapo ni wakulima kutegemea mvua, bei kubwa za pembejeo na upungufu wa zana za kisasa, uhaba wa masoko, na uvamizi wa visumbufu vya mazao. Ili kutatua changamoto hizi, ni vema Serikali katika ngazi zote ikatilia mkazo katika uanzishaji wa skimu za umwagiliaji katika mabonde tuliyonayo kwani hali ya mabadiliko ya tabia nchi inaendelea kuwa chagamoto kubwa kwa wakulima na pia kutoa ruzuku kwenye bei za pembejeo.

Pia wakulima wasaidiwe kupitia vikundi vyao wenyewe, taasisi za kifedha na wafadhili mbalimbali kupata pembejeo na zana za kisasa ili waweze kuzalisha zaidi.

SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA:

Kutoa mafunzo ya kanuni bora za kilimo kwa wakulima ikiwemo upandaji kwa nafasi na kwa wakati, matumizi ya pembejeo, zana na teknolojia za kisasa, teknolojia za umwagiliaji na kilimo hai. Mafunzo haya yanatolewa kwa njia mbalimbali ikiwemo mihadhara, mijadala, mashamba darasa na mashamba ya mfano.

Kutoa mafunzo ya matumizi bora ya ardhi kwenye maeneo ya kilimo kwa kupanga na kugawa matumizi ya ardhi kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kuongeza uzalishaji kwa eneo.

Kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu sekta ya kilimo, mfano ni wapi pembejeo zinapatikana, hali ya masoko, uwezesho wa kifedha na hata mashirika yanayowasaidia wakulima kupata mahitaji yao mbalimbali

Kuwasaidia wakulima kuanzisha na kutunza vitalu vya mbegu za mboga na matunda kwa ajili ya kukuza mazao ya bustani

Kufanya maonesho mbalimbali kupitia siku za wakulima, na hata ngazi ya wilaya kupitia maonesho ya nanenane.

Kutoa mafunzo ya hifadhi ya mazao ya kilimo kwa kuzingatia viwango vinavyohitajika na matumizi ya viuatilifu vya mazao ya kilimo ghalani.

Kuwatembelea wakulima, kuona changamoto wanazokutana nazo na  kutoa ushauri wa jinsi ya kutatua changamoto hizo.

Kutoa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wakulima ili kuwahamasisha wenzao kupenda kufanya vizuri zaidi. Hii inaleta ushindani ambao hatimae unasababisha ongezeko la uzalishaji kwa ujumla

JINSI HUDUMA ZINAVYOPATIKANA

  • Huduma hizi hutolewa ndani ya Halmashauri ya Mji kwa njia zifuatazo:-
  • Kupata ushauri wa moja kwa moja toka ofisi ya Kilimo, Umwagiliaji na ushirika katika Halmashauri ya Mji.
  • Kupata ushauri wa ana kwa ana toka kwa wataalam wa wilayani, katani au kwenye mtaa katika shamba la mkulima.
  • Kupata ushauri toka ofisi ya kata au ya mtaa.
  • Mafunzo kwa njia ya mikutano ( warsha na semina mbalimbali).
  • Mafunzo kwa njia ya vikundi kuongea na vikundi.
  • Mafunzo kupitia maonesho mbalimbali ngazi ya mtaa, kata, na wilaya wakati wa siku ya wakulima nanenane.
  • Sekta ya Mifugo

    Sekta ya Mifugo na Uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu za Halmashauri ya Mji wa Geita. Idara hii inafanya kazi zake kwa kuakisi Dira na dhima ya Halmashauri ya Mji Geita ambayo nia yake kuu ni kuinua maisha ya wananchi kwa kutoa huduma bora na kuinua uchumi wa wananchi katika Mji wa Geita na Taifa kwa ujumla.

    Sekta hii imeundwa na sehemu mbili  ambazo ni:

    i.    Sekta ya Mifugo

    ii.    Sekta ya Uvuvi

    Kazi za Sekta ya Mifugo na Uvuvi

    Miongoni mwa kazi za Sekta ya Mifugo na Uvuvi ni kama ifuatavyo;

    1.    Kuhakikisha usalama wa chakula na lishe bora unakuwepo katika ngazi ya kaya,

    2.    Kuwajengea uwezo wafugaji  juu ya ufugaji bora,

    3.    Kuboresha miundo mbinu ya Mifugo na Samaki kwenye kata husika,

    4.    Kusimamia kanuni za ufugaji bora ili kuhakikisha kuwa wafugaji wanazalisha kwa tija ukilinganisha na mifugo na maeneo waliyonayo.

    5.    Ukusanyaji wa mapato yatokanayo Machinjio na Vyanzo vingine vya mapato idara ya Mifugo na Uvuvi.

    6.    Kuboresha Mifugo,Samaki na mazao yake kwenye maeneo husika,

    7.    Kutoa elimu ya ugani kwa wafugaji wa Mifugo na samaki,

    8.    Kuhakikisha usalama wa chakula na lishe bora unakuwepo katika ngazi ya kaya,

    9.    Kuboresha miundo mbinu ya Mifugo na Uvuvi kwenye Kata husika,

    10.    Kusimamia sheria na kanuni za Mifugo na Uvuvi.

    Taratibu za kupata huduma

    Idara inao watumishi katika ngazi mbili katika utoaji wa huduma kama ifutavyo:-

    i.    Ngazi ya kata ( maafisa ugani kata)

    ii.    Ngazi ya makao makuu ( Mkuu wa Idara ya Kilimo na Mifugo na wakuu wa vitengo)

    Ngazi ya kata

    Katika utoaji wa huduma kwa wadau wa Mifugo na Uvuvi ambao ni wafugaji,Maafisa ugani wana madaftari ya wafugaji katika maeneo yao ya  kazi. Aidha wataalamu wana ratiba zao za kazi ambao ni utaratibu wa kazi zao za kila siku. Ratiba hizo huwezesha kuwatembelea wafugaji wao hususani Majumbani na mashambani kwa ajili ya kutoa huduma za ugani. Muda huo  hutoa maelekezo , ushauri, pia kusimamia kanuni za ufugaji bora kulingana na mifugo wanayonayo.

    Ngazi ya makao makuu

    Huduma inayotolewa na wataalamu walioko makao makuu ni  masuala ya utawala. Sambamba na hilo kupokea na kutatua masuala ya utaalamu kuhusiana na Mifugo na uvuvi, yanapokuwa yamekosa ufumbuzi yanapelekwa kwenye vituo vya utafiti ili kuhakikisha kwa shughuli za Mifugo na Uvuvi. zinaendelea bila kukwama.Pindi tu utatuzi au majibu yanapopatikana yanapelekwa kwa wataalamu ngazi ya kata ili yafikishwe kwa wafugaji ili wafanikishe shughuli zao.

    Shughuli zote hizi zinafanyika chini ya kiongozi wa seksheni ambaye ndie mwenye kuratibu mambo yote na mambo mengine yanayohusu Mifugo na 

    Sekta ya Mifugo

    Shughuli zote hizi zinafanyika chini ya mkuu wa Idara ambaye ndie mwenye kuratibu mambo yote na mambo mengine yanayohusu Mifugo na uvuvi

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA MAOHOJIANO (ORAL INTERVIEW) KADA YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II September 29, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 05, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAHILI September 21, 2024
  • Zaidi

Habari Mpya

  • SERIKALI YAONGEZA FEDHA ZA ELIMU BURE MANISPAA YA GEITA

    May 11, 2025
  • WASIOFANYA USAFI KATIKA MAENEO YAO KUCHUKULIWA HATUA - DC KOMBA

    May 10, 2025
  • MAFUNZO KWA VIKUNDI VINAVYOTARAJIWA KUPEWA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI

    May 09, 2025
  • BURIANI MHE DAVID CLEOPA MSUYA

    May 07, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • TUWE MFANO KWA TAIFA' Yefred Myenzi
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa