Posted on: August 6th, 2025
Katika kuadhimisha Wiki ya Unyonyeshaji Duniani 2025, elimu juu ya umuhimu wa kunyonyesha watoto maziwa ya mama imetolewa kwa wazazi katika Zahanati ya Geita Town na Kituo cha Afya Nyankumbu.
...
Posted on: August 11th, 2025
Wachezaji 43 wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita walioteuliwa kushiriki mashindano ya SHIMISEMITA mwaka huu, wamepewa hamasa maalum kabla ya kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya mashindano hayo ya kitai...