Posted on: June 6th, 2025
Hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Kituo cha Mabasi imefanyika leo tarehe 06 Juni, 2025 katika Ukumbi wa EPZA uliopo Bombambili katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani Geita. Mgeni r...
Posted on: June 5th, 2025
Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita imewataka Watumishi wa Umma kutimiza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu huku wakisistizwa kutambua haki zao za msingi wanazostahili kama Wa...
Posted on: June 4th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita Ndg. Yefred Myenzi, amewataka watumishi wa Manispaa ya Geita kujiepusha na kutuma taarifa ambazo hawana uhakika nazo kwa kuwa ni kinyume cha maadili.
...