Bweni la wanafunzi katika Shule ya Sekondari Bombambili ambayo imejengwa kwa fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini ( TASAF)
Ujenzi wa Soko Kuu la Wajasiriamali wadogo Katundu lililojengwa kupitia fedha za CSR kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita
Shule ya Sekondari Bombambili
Ujenzi wa Madarasa tisa ya wanafunzi wa Kidato cha kwanza 2023 katika Sekondari Bombambili ambayo imejengwa kwa fedha kutoka Serikali kuu
Ujenzi wa Maabara ya Masomo ya Sayansi
Mradi wa ujenzi wa Maabara ya Masomo ya sayansi katika shule ya Sekondari Nyanza ambayo imejengwa na Taasisi ya Elimu Tanzania
Ujenzi wa Madarasa ya mfano ya Elimu ya Awali Shule ya Msingi Kabuyombo
Ujenzi wa madarasa mawili ya wanafunzi wa elimu ya awali yaliyojengwa kupitia programu ya BOOST katika Shule ya Msingi Kabuyombo-Kasamwa
Mradi wa ujenzi wa Barabara kutoka Miti mirefu - Katundu kwa kiwango cha lami ambao umetekelezwa na unatumika
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa