Malengo ya Idara ya Maji kwa mwaka 2017/2018
Lengo kuu ni kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Geita kutoka asilimia 37.5% ya sasa hadi kufikia asilimia 45% ifikapo Juni 2018. Aidha Halmashauri inaendelea na shughuli ya kuunda, kusajili na kutoa mafunzo kwa jumuiya 10 za watumia maji( COWSOs- Community Owned Water Supply Organizations) na vikundi vya watumiaji maji( WUGs-Water Users Group) kwa ajili ya kuendesha na kusimamia miradi ya maji.
Shughuli zilizotekelezwa na Idara ya Maji
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa