Kazi ya kamati hii ni Kushirikisha wadau mbalimbali katika eneo la Halmashauri ya Mji ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na/au nyenzo, usimamizi, uratibu na utekelezaji wa kazi za Tume ya Kudhibiti Ukimwi; kusimamia uandaaji wa Kamati zote za Kudhibiti Ukimwi. Kupendekeza na kuchambua hali ya Ukimwi/mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husika kwa hatua zaidi
Majukumu maalum ya Kamati
(i) Kutathmini hali ya UKIMWI katika eneo lake, idadi ya waathirika, wagonjwa, yatima Wajane.
(ii) Kasi ya maambukizi ya ukimwi/VVU
(iii) Mazingira maalum yanayochangia maambukizi.
(iv) Uelewa wa wananchi kuhusu janga la ukimwa
(v) Serikali haitatoa fedha kwa Halmahauri isiyokuwa na mpango madhubuti wa kudhibiti Ukimwi/VVU
(vi) Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo.
(vii) Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya mlipuko.
(viii) Kupendekeza Sheria Ndogo za kudhibiti Ukimwi.
(ix) Kuweka miakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za Elimu na Afya.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa