MAJUKUMU YA MSINGI YA IDARA YA MIPANGO NA URATIBU
-Kufanya utafiti na kubainisha Fursa zilizopo katika Sekta husika
-Kuainisha Vipaumbele vya Maendeleo
-Kuaanda ratiba ya kazi zinazohusika (Action Plan)
-Kufanya tathimini ya Sera za Kisekta
-Kubuni na kuweka mikakati ya kuongeza ufanisi katika uzalisha na utoaji huduma
-Kuthamini Muundo wa Serikali wa utoaji huduma mbalimbali za jamii na Utawala
-Kuthamini ujuzi na uwezo binafisi wa watumishi wa idara mbalimbali katika kutoa huduma kwa ufanisi na kutoa ushauri
-Kubuni na kuweka miakakati ya kuongeza ufanisi katika kutoa huduma.
-Kuthamini na kuweka vipaumbele katika maeneo ya kuweka katika sekta za uzalishaji,miundombinu na maendeleo ya jamii na utawala
-Kuwa na mashauriano ya Kitaalam katika sekta husika
-Kuwa na mashauriano ya kitaalam katika sekt husika
-Kusaidia katika kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi anazofanya kwa mwaka
-Kuto ushauri wa kitaalamu juu ya upangaji wa masuala ya rasilimali watu
-Kutambua mahitaji ya utaalam katika sekta za jamii
-Kuongoza katika kuandaa/kutayarisha makala ya maendeleo ya Rasilimali watu
-Kutoa ushauri kuhusu mikakati ya ukuaji wa ajira
-Kutathimini mahitaji na matokeo ya taasisi za mafunzo kulingana na soko la ajira
-Kuchambua takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi na kuandaa sera za kiuchumi na kuaandaa sera za uchumi jumla na mipango ya maendeleo ya Taifa na Mikoa
-Kutayarisha taarifa za mapitio ya mwenendo wa kiuchumi na kijamii za robo na nusu mwaka
-Kuchambua mwenendo wa bajeti ya serikali na sekta ya fedha
-Kuandaa mfumo/mtindo wa uchambuzi na makisio ya vigezo vya uchumi jumla
-Kufatilia utekelezaji wa miradi/program za sekta mbalimbali
-Kufatilia utekelezaji wa Sera mbalimbali za kisekta na kutoa ushauri
-Kutathimini utendaji wa utoaji huduma za jamii za watu binafisi na kushauri
-Kutathimini matokeo ya kimaendeleo kutokana na hatua zilizochukuliwa kushauri
-Kuandaa orodha (Inventory) na program ya idadi ya watu
-Kuratibu mpango wa idadi ya watu nchini
-Kuratibu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025
-Kuandaa mikakati na mipango ya maendeleo ya muda wa kati na mrefu
-Kutayarisha na kusimamia mifumo ya shughuli za mipango ya maendeleo
-Kuandaa taarifa ya robo mwaka,nusu mwaka na mwaka
-Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohitajika katika mamlaka za juu za Serikali
-Kusimamia shughuli za maendeleo katika kata maeneo yao
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa