Majukumu ya Divisheni ya Viwanda
(i) Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu
kuhusiana na viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
(ii) Kukuza viwanda, biashara, masoko na uwekezaji katika Halmashauri;
(iii) Kupanga na kuendeleza maeneo ya viwanda na hifadhi kwa kushirikiana na wadau wengine
(iv) Kupanga vivutio vya viwanda, biashara, masoko na kukuza uwekezaji;
(v) Kukuza maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati (SMEs);
(vi) Kuendeleza mapendekezo na miradi ya uwekezaji;
(vii) Kuendeleza hatua za maendeleo ya sekta binafsi;
(viii) Kuanzisha na kusimamia kanzidata ya viwanda, biashara, masoko na
uwekezaji;
(ix) Kusimamia usimamizi wa kituo kimoja cha biashara;
(x) Kufanya utafiti wa kukuza uwekezaji;
(xi) Kuratibu Jukwaa la Biashara;
(xii) Kusimamia shughuli za minada na masoko katika Halmashauri;
(xiii) Kutekeleza Mkakati wa Maendeleo ya Biashara kwa wafanyabiashara wadogo na watoa huduma za biashara
(xiv) Kuweka mazingira bora ya Biashara na uwekezaji ili kukuza
Biashara na Uwekezaji
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa