Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ni moja ya vitengo vipya ambacho kimeanzishwa rasmi mwezi Julai 2022 kikiwa kimemegwa kutoka kwenye kitengo cha TEHAMA na UHUSIANO. Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kina majukumu yafuatayo;-
(a) Kuhuisha taarifa mbalimbali kwenye tovuti na anwani za mitandao ya kijamii za Halmashauri
(b) Kuratibu utoaji taarifa kwenye vyombo mbalimbali vya Habari
(c) Kuandaa na kusambaza majarida/vipeperushi vinavyoelezea utekelezaji wa miradi malimbali na kazi zinazofanywa na Halmashauri.
(d)Kuratibu utoaji wa taarifa kwenye vyombo vya Habari
(e) Kutunza Maktaba ya Halmashauri
(f) Kuandaa na kutekeleza mpango mkakati wa mawasiliano
(g) Kumshauri mwajiri juu ya maswala yanayohusu mawasiliano na mahusiano kwa umma
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa