Posted on: October 20th, 2023
Wananchi Watakiwa Kutobeza Elimu ya Watu Wazima
Wananchi mkoani Geita wameshauriwa kutobeza elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi ambayo hutolewa kwa watu waliokosa fursa ya kupata elimu...
Posted on: October 19th, 2023
Geita Gold FC Yakabidhiwa Basi la Wachezaji
Timu ya Mpira wa miguu ya Geita Gold FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Mji Geita imekabidhiwa basi litakalotumika kusafirishia wachezaji katika maeneo m...
Posted on: October 19th, 2023
Mgogoro wa Vigingi na Mipasuko kumalizwa Geita
Waziri wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde amewaahidi wananchi wa Halmashauri ya Mji Geita kuwa migogoro ya vigingi na mipasuko iliyodumu kwa miaka m...