Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashim Komba, ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Geita kwa Miradi iliyopendekezwa kutembelewa na Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2025.
Amesema hayo akiwa kwenye ziara maalumu ya ukaguzi wa njia iliyopendekezwa kupitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Mhe. Komba amesema ameridhishwa na kasi inayoendelea kwenye miradi iliyopendekezwa, huku akiiagiza Halmashauri kuhakikisha inatoa fedha kwa wakati ili kazi zilizosalia ziweze kufanyia kwa haraka, kwa kuzingatia ubora.
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa