Posted on: August 7th, 2025
Uzinduzi rasmi wa Dawati la Huduma za Ustawi wa Jamii katika Kituo kikuu cha mabasi Geita Mjini kutawezesha watoto na watu wote wanaopitia vitendo vya kikatili katika maeneo ya stendi kupata msaada wa...
Posted on: August 5th, 2025
Karibu sana kwenye Banda la Maonesho la Manispaa ya Geita kwenye viwanja vya Nyamhongolo, Mwanza!
Tunawaalika wananchi wote kutembelea banda letu ambapo mtapata:
Elimu ya kisasa kuhusu kilimo...
Posted on: August 3rd, 2025
Nyamhongolo, Mwanza
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashim A. Komba, amefungua rasmi Maonesho ya Kilimo na Mifugo (Nanenane) yanayofanyika katika Viwanja vya Nyamhongolo, Jijini Mwanza, kwa niaba ya ...