Posted on: December 1st, 2021
Watumishi wa Halmashauri ya Mji Geita watakiwa kuchukua tahadhari na kujikinga na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Hayo yamebainishwa leo tarehe 01 Disemba 2021 katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI...
Posted on: November 24th, 2021
Halmashauri ya Mji Geita imezindua upandaji miti kwenye kwenye maneo ya Ofisi ya Halmashauri ya Mji Geita leo tarehe 24.11.2021.
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Wilson Simon Shimo ambaye ni mgeni rasm...
Posted on: November 1st, 2021
Geita Kunufaika Na TASAF Awamu ya Nne
Kiasi cha Dola milioni 50 zimetengwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya kutoa ajira za muda kwa walengwa wa m...