Karibu sana kwenye Banda la Maonesho la Manispaa ya Geita kwenye viwanja vya Nyamhongolo, Mwanza!
Tunawaalika wananchi wote kutembelea banda letu ambapo mtapata:
Tutumie nafasi hii kujifunza, kuuliza maswali, na kubadilishana uzoefu. Maafisa wetu wa kilimo, mifugo na uvuvi wapo tayari kuwahudumia kwa ukarimu na weledi.
Karibu ujifunze, ubadilike, uinuke!
Kilimo ni ajira, uchumi na maisha bora!
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa