Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (Tanzania Women Chamber of Commerce - TWCC) Mapema leo tarehe 07 Mei, 2025 Mwenyekiti, Katibu na Mtendaji wa TWCC Mkoa wa Geita wamemtembelea Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita Ndg. Yefred Myenzi na kumkabidhi Hati ya shukrani
Hati hiyo imetolewa kwa namna ambavyo ofisi yake imekuwa ikishirikiana na TWCC katika harakati za kumkomboa mwanamke na kijana.
Pia Mkurugenzi Myenzi amesisitiza na kuwapa ushauri viongozi wa TWCC Mkoa wa Geita kuona namna ya kumkomboa na kijana wa kiume kiuchumi.
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa