MJI wa Geita ndiko yaliko makao makuu ya Mkoa wa Geita na hivyo kuwa uso wa mkoa huu uliojaaliwa kuwa na madini ya dhahabu kila mahala. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita,MHANDISI MODEST APOLINARY, ambaye, pamoja na mambo mengine, anaeleza yale yanayofanywa na halmashauri yake inayokuwa kwa kasi pamoja na fursa lukuki zinazopatikana katika halmashauri hiyo.
Mhandisi Apolinary anasema kuna fursa nyingine ya uwekezaji katika eneo la mifugo katika vijiji vinavyo-zungukamji wa Geita kwa maana ya kuchakata mazao yatokanayo na wanakaribishwa kuja kuwekeza ni kwenye kusindika vyakula.
Anafafanua kwamba kinachotaki-wa katika eneo hilo ni pamoja na kus-aga mahindi au kukoboa mpunga na yanaweza kustawi ila kutokana na mwamko mdogo wa wananchi haya-limi.
Anasema katika halmashauri hiyo kuna hekta 2,870 zinazofaa kwa hilo pamoja na migodi mingine ya jirani kama Bulyankulu na Buzwagi mkoani Shinyanga limekuwa haliwa-faidishi wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Geita kutokana na kwa sababu wanavyo viwango vyao,” anasema na kuongeza kwamba ndio maana sasa wanatengeneza machinjio ya kisasa ambamo nyama itachinjwa kwa kiwango kinachotakiwa.
ONGEZEKO LA MAPATO Mhandisi Apolinary ambaye ame-shika wadhifa wa kuongoza hal-mashauri hii tangu Julai 2016, anaanza kwa kueleza kwamba wameweza kufanya mapinduzi makubwa ka-tika eneo la kukusanya mapato, hatua iliyowawezesha kumudu kutekeleza miradi mingi ya maendeleo.
Anafafanua kwamba walijielekeza ipasavyo katika maeneo ya wafanya-biashara ikiwemo masoko na stendi na kuweka nguvu ihitajikayo kwa wachimbaji wa madini na kuhakikisha wanasimamia vyema makusanyo.“Wachimbaji madini wa kati, wakubwa na wadogo, wote tume-wawekea mfumo mzuri wa ukusany-aji mapato.
Ndio maana utaona mwa-ka 2016/17 tuliweza kukusaya zaidi ya Sh bilioni 5.2 na tukaweza kutumia zaidi ya asilimia 71 ya mapato yetu yote hayo kwenye miradi ya maende-leo,” anasema.
MIRADI KEDEKEDE Akioredhesha miradi ya maendeleo waliofanikiwa kuitekeleza huku min-gine ikiendelea, Mkurugenzi anaitaja kuwa ni pamoja na uanzishwaji wa shule nne mpya za msingi, shule mbili za sekondari na shule moja ya kidato cha tano na sita.
“Mafanikio haya makubwa yana-tokana na upatikanaji wa fedha zetu za ndani,” anasema. Katika mwaka huu wa fedha ana asilimia 90.
Kusoma Zaidi...........
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa