• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

WATUMISHI WA MANISPAA YA GEITA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MITANDAO YA KIJAMII YENYE TAARIFA ZA UPOTOSHAJI

Posted on: June 4th, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita Ndg. Yefred Myenzi, amewataka watumishi wa Manispaa ya Geita kujiepusha na kutuma taarifa ambazo hawana uhakika nazo kwa kuwa ni kinyume cha maadili.

Ndg. Myenzi ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na watumishi wa umma wa Kata ya Nyankumbu na Mtakuja wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji, kusikiliza na kutatua changamoto zinawazokabili watumishi hao katika utekelezaji wa majukumu yao. Kikao hiko kimefanyika katika shule ya Sekondari ya Wasichana Nyankumbu.

“Nikemee vitendo vya kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii ambayo wakati mwingine ina taarifa zisizo rasmi na taarifa za upotoshaji, unavyopost kitu ambacho huna uhakika nacho kuna sheria inayohusiana na mahudhui ya mtandaoni utakabiliana nayo” amesema Myenzi

Ameongezea kusema kuwa watumie mitandao ya kijamii kwa manufaa pasipo kupoteza muda wa mwajiri

“Tutumie mitandao kwa ajili ya manufaa uki-download matirio ya kufundishia, utaalamu wa afya pamoja na mambo mengine ikiwa na kibiashara kuliko kutumia kujifurahisha tu" amesesisitiza Myenzi

Ziara hii mwendelezo wa utaratibu wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, akiambatana na wataalamu wa Halmashauri kwa ajili ya kusikiliza na kutatua changamoto za watumishi ambapo kero hizo zinafanyiwa ufumbuzi papo kwa papo. Kwa leo pia timu imekutana na watumishi wa Kata ya Kalangalala, Buhalahala na Bombambili katika Ukumbi Gedeco.

Timu hiyo kesho tarehe 05 Juni, 2025 itaendelea na ziara katika Kata za Ihanamilo, Nyanguku na Mgusu.


BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram

Facebook

X

Youtube

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA June 03, 2025
  • TANGAZO KUHUSU FURSA ZA MIKOPO YA ASILIMIA 10 May 27, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BILIONI 19.1 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI MANISPAA YA GEITA

    June 06, 2025
  • WATUMISHI GEITA MANISPAA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA

    June 05, 2025
  • WATUMISHI WA MANISPAA YA GEITA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MITANDAO YA KIJAMII YENYE TAARIFA ZA UPOTOSHAJI

    June 04, 2025
  • ZIARA YA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI VITUONI

    June 03, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa