Maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kata ya Mgusu, Halmashauri ya Mji wa Geita
Halmashauri ya Mji wa Geita imefanikiwa kutoa mikopo ya shilingi Bilioni 1.1 kwa vikundi vya wanawake na vijana kwa muda wa miaka mitatu
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa pamoja limeazimia kuufanyia ukarabati mnara ulioko katikati ya Mji wa Geita uliojengwa kwa thamani ya Shilingi Milioni 70 na kukamilika mwezi mmoja uliopita.
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa