Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa pamoja limeazimia kuufanyia ukarabati mnara ulioko katikati ya Mji wa Geita uliojengwa kwa thamani ya Shilingi Milioni 70 na kukamilika mwezi mmoja uliopita.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa atembelea Halmashauri ya Mji wa Geita na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Jitihada za Halmashauri ya Mji wa Geita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa