Kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima mkoani Geita yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya msingi Ludete Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Karibu utazame namna Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha elimu ya awali katika shule zetu za msingi.
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa