Wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Manispaa ya Geita kwenye Maonesho ya Nane Nane 2025 katika viwanja vya Nyamhingolo
wakijifunza kwa vitendo mbinu bora za kilimo, ufugaji na uvuvi. Banda linaendelea kutoa elimu ya na ushauri wa moja kwa moja
aKaribu ujifunze, uhamasike na ujiandae kuboresha maisha kupitia kilimo na ufugaji wa kisasa.
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa