Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Mhandisi Modest Apolinary akizungumzia maendeleo ya Mji wa Geita
January 15th, 2018
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Mhandisi Modest J. Apolinary amesema kuwa Kwa mwaka wa fedha 2016/2017 Halmashauri imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.