Historia fupi ya Mhe. Costantine Morandi Mtani, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Wa Geita
KUZALIWA
|
15/11/1969 |
ELIMU | Kidato cha nne, Mugango Sekondari Mkoani Mara |
SEMINA NA WARSHA MBALIMBALI ALIZOHUDHURIA
|
Kozi fupi ya Utawala bora Chuo Kikuu Mzumbe mwaka 2017 |
UZOEFU WAKE KATIKA SIASA
|
- Katibu Mwenezi Kata ya Mtakuja mwaka 2007-2015
-Katibu wa hamasa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza na Geita kuanzia mwaka 2009-2017 -Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuanzia Mwaka 2015 mpaka sasa -Diwani wa Kata ya Mtakuja kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa - Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita kuanzia mwaka 2020 mpaka sasa |
MALENGO YAKE KWA HALMASHAURI |
KUHAKIKISHA WANANCHI WANASHIRIKISHWA KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI NA MIRADI MBALIMBALI NDANI YA HALMASHAURI YA MJI ILI KUWEKA UWAZI NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHUGHULI ZA SERIKALI. PIA KUIWEZESHA HALMASHAURI YA MJI WA GEITA KUWA YA MFANO NDANI YA TANZANIA NA NJE YA NCHI KIMAENDELEO. |
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa