• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Madiwani Ni Kitovu Cha Halmashauri-DC Geita

Posted on: December 8th, 2020

Madiwani ni Kitovu Cha  Halmashauri – DC Geita

MKuu wa Wilaya ya Geita Mheshimiwa Fadhili Juma amewakumbusha Madiwani wa Halmashauri ya Mji waGeita  kutambua kuwa wao ndio kitovu cha maendeleo ya wananchi wa Wilaya ya Geita.

Mkuu wa Wilaya ya Geita ametoa kauli hiyo wakati wa kikao cha Baraza la kwanza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita kilichofanyika Tarehe 7/7/2020 katika ukumbi wa GEDECO ambapo Madiwani waliapishwa na kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Makamu wake.

Mhe. Fadhili Juma amefafanua kuwa endapo wananchi watakosa huduma za msingi katika maeneo yao lawama zote zitaenda kwao kwa sababu wao ndio wenyeviti wa Kamati za Maendeleo za Kata( WDC) hivyo waende wakawatumikie wananchi katika maeneo yao maana ushindi walioupata ni mkopo kutoka kwao ambao wanatakiwa wakaulipe kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi hao.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Geita Mhe. Costantine Morandi amewashukuru Madiwani wenzake kwa kumchagua kuiongoza Halmashauri kwa kipindi cha miaka mitano na kuahidi kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuendelea kujenga imani kwa wananchi.

Mhe. Morandi pia alitumia fursa hiyo kuishauri Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kutosubiri vitendo vya rushwa vitendeke katika Halmashauri yake badala yake izuie kabla havijatendeka ili kusaidia wananchi waweze kunufaika na fedha za miradi ya maendeleo.

Mbunge wa jimbo la Geita Mjini Mheshimiwa Costantine J. Kanyasu  aliwashukuru wananchi wa Geita kwa kuwaamini na kuwaahidi kuwa yeye binafsi , Madiwani pamoja na wataalamu wote kutoka Idara mbalimbali za Halmashauri watafanya kazi kwa bidii na mshikamano wakilenga kutimiza ahadi walizozitoa kwa wananchi wa Geita mjini wakati wa kampeni.

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Geita lina jumla ya Madiwani 19 ambao waliapishwa na kumchagua Mwenyekiti  kwa kura zote za ndio na kumchagua Makamu Mwenyekiti Mhe. Joseph Lusana Lugaila Diwani wa kata ya Ihanamilo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kura 19 zote za ndio.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA MAOHOJIANO (ORAL INTERVIEW) KADA YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II September 29, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 05, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAHILI September 21, 2024
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BURIANI MHE DAVID CLEOPA MSUYA

    May 07, 2025
  • TWCC MKOA WA GEITA WAMEMKABIDHI HATI YA SHUKRANI MKURUGENZI MYENZI

    May 07, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA GEITA MHE. HASHIM A KOMBA KUTEMBELEA NJIA NA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 06, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAMPONGEZA MKURUGENZI MYENZI

    May 05, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • TUWE MFANO KWA TAIFA' Yefred Myenzi
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa