Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita inatoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassani, familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote Kufuatia kifo cha David Cleopa Msuya aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea leo tarehe 07 Mei, 2025
Mhe. Msuya amefariki katika Hospitali ya Mzena iliyopo jijini Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya moyo. Taarifa ya kifo chake imetangazwa jioni ya leo na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa