Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita anawataarifu waombaji wa kazi ya Muuguzi II, Afisa Mteknolojia Maabara Mdaidizi II, Mhudumu wa chumba cha maiti na Afisa TEHAMA, katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Geita kuwa, usahili umepangwa kufanyika Tarehe 24/08/2023 katika ukumbi wa EPZ kuanzia Saa 1:00 Asubuhi.
Wasahiliwa wanatakiwa kuja na nakala halisi (Original Certificates) za:
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa