Historia fupi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita
Mhandisi Modest J.Apolinary aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Geita mwaka 2016 akiwa ni Mkurugenzi wa tatu tangu Mamlaka ya Mji Geita ilipopata hadhi ya Halmashauri ya Mji.
TAREHE YA KUZALIWA
|
29/11/1972
|
|
ELIMU
|
|
KIDATO CHA SITA, MWAKA 1994-1996 SHAHADA YA SAYANSI YA UCHIMBAJI MADINI, MWAKA 1996-2000 |
MAFUNZO MENGINE
|
USIMAMIZI WA KAZI ZA MADINI
|
MWAKA 2004-2005 NCHINI AFRIKA YA KUSINI
|
UZOEFU NA AJIRA
|
|
MGODI WA BULYANHULU, MWAKA 2005 HADI 2007 MGODI WA SHABA WA KONKOLA NCHINI ZAMBIA, MWAKA 2009-2013 KAMPUNI YA TANZANITE ONE, MWAKA 2015-2016 HALMASHAURI YA MJI WA GEITA, MWAKA 2016 HADI SASA |
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa