• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

WATUMISHI GEITA MANISPAA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA

Posted on: June 5th, 2025

Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita imewataka Watumishi wa Umma kutimiza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu huku wakisistizwa kutambua haki zao za msingi wanazostahili kama Watumishi wa Umma.

Akiwasilisha maelekezo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa, Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bi. Ellah Makese ametoa kauli hiyo leo tarehe 05 June 2025 wakati wa kikao kazi na Watumishi wa Kata ya Ihanamilo na Nyanguku kilichofanyika katika shule ya Sekondari Ihanamilo.

“Kanuni za maadili ndizo ambazo zinazotufanya sisi tuwe watumishi wa Umma na hizo ndizo zinazotufanya sisi tukamilike, ukikiuka hizo kanununi za maadili maana yake wewe utakuwa ume-misbehavior” amesema Ellah

Ziara hiyo ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji, kusikiliza na kutatua changamoto zinawazokabili watumishi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa lengo la kuboresha utendaji kazi kwa Watumishi wa Manispaa.

Amesema ni wajibu wa kila Mtumishi kutambua haki zake ikiwemo stahili zake kama Mtumishi wa Umma pamoja na likizo huku akisisitiza haki lazima iende sambamba na kutimiza wajibu wa kutoa huduma bora.

Aidha amewataka watumishi kuwa n vyanzo vingine vya mapato tofauti na mshahara ili hata wanapomaliza utumishi wao Serikalini tayari wanakuwa wameshajikita katika jambo fulani na hii itawaepushia kukurupuka kuingia kwenye mikopo mingi inayopelekea kuanguka kiuchumi na wakati mwingine kuwasababishia msongo wa mawazo au vifo vya mapema

Naye Bw. Kadole Ngumungu, Afisa Utumishi akiwasilisha mada juu ya Kanuni za Utumishi wa Umma amewataka watumishi kuzingatia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na nidhamu katika utumishi wa umma na utendaji kazi kiufanisi ili kuleta tija katika kazi zao.

Pia, amewataka watumishi kuimarisha ushirikiano na mawasiliano mahali pa kazi katika kutekeleza majukumu yao.


Timu hiyo imefikia tamati ya ziara yake leo kwa kutembelea pia watumishi wa Kata ya Mgusu.


BOFYA HAPA KUONA VIDEO


BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram

Facebook

X

Youtube

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA June 03, 2025
  • TANGAZO KUHUSU FURSA ZA MIKOPO YA ASILIMIA 10 May 27, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BILIONI 19.1 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI MANISPAA YA GEITA

    June 06, 2025
  • WATUMISHI GEITA MANISPAA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA

    June 05, 2025
  • WATUMISHI WA MANISPAA YA GEITA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MITANDAO YA KIJAMII YENYE TAARIFA ZA UPOTOSHAJI

    June 04, 2025
  • ZIARA YA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI VITUONI

    June 03, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa