• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Elimu ya Usafi wa Mazingira yahitajika kwa Wananchi- DC Maganga

Posted on: April 4th, 2019

Elimu ya Usafi wa Mazingira yahitajika kwa Wananchi- DC Maganga

Mkuu wa Wilaya ya Geita Mheshimiwa Josephat Maganga amewaagiza wataalam wa Idara ya Mazingira katika Halmashauri ya Mji wa Geita kuhakikisha wanatoa elimu ya kina juu ya usafi na utunzaji wa mazingira  kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini Geita.

Agizo hili limetolewa alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Nyankumbu katika Halmashauri ya Mji wa Geita aliposhiriki zoezi la usafi wa mwisho wa mwezi katika Mtaa wa Uwanja hivi karibuni, ambapo alikuwa Mgeni rasmi akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Mhe. Josephat Maganga amefafanua kuwa wananchi wanatambua umuhimu wa usafi na Afya  kwa ujumla kuanzia watoto waliofiki kisha umri wa kwenda shule. “Wazazi mnatakiwa kuanza kuwafundisha watoto wenu kutunza usafi wangali wadogo ili jamii iweze kujikinga na maradhi yatokanayo na uchafu . Pia wananchi hamasikeni kupanda miti ya vivuli na matunda.” Aliongeza Mkuu wa Wilaya ya Geita.

Afisa Usafishaji na Mazingira wa Halmashauri ya Mji wa Geita Ndg. Pancrace Shwekelela  amesema kuwa wananchi wanatakiwa kuacha tabia ya kutupa taka hovyo kama maganda ya ndizi, miwa, mahindi nk badala yake wayatupe katika vifaa maalum vya kutupia taka( dustbin).

Pia Ndg. Shwekelela ameongeza kuwa  Halmashauri imejipanga kuunda vikosi kazi vya mitaa ambavyo vitasimamia  usafi katika mitaa yao. Vikosi kazi hivi vitasaidia kuhifadhi mazingira kwa kuwaripoti waharibifu wa mazingira ambao watalazimika kulipa faini ya papo kwa papo watakapokamatwa kwa makosa ya kutupa taka hovyo na watoa taarifa hizo watapatiwa zawadi kidogo kwa kazi hiyo.

Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Nyankumbu Diwani wa Kata hiyo Mhe. Paschal Kimisha  amesema kuwa ukosefu wa barabara katika mtaa wa Uwanja kunafanya miundombinu iliyopo kutokuwa rafiki kwa utunzaji wa mazingira hivyo ametoa rai kwa Wakala wa Barabara Vijijini na mijini( TARURA) kuhakikisha barabara hizo zinachongwa na sheria zilizopo juu ya utunzaji wa mazingira zizingatiwe.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA June 03, 2025
  • TANGAZO KUHUSU FURSA ZA MIKOPO YA ASILIMIA 10 May 27, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI WAKUMBUSHWA KUFANYA KAZI KWA UMOJA

    June 30, 2025
  • BONAZA LA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA

    June 28, 2025
  • WANANCHI WA MANISPAA YA GEITA WAKUMBUSHWA KUENDELEA KUFANYA USAFI

    June 28, 2025
  • DC KOMBA AWAKARIBISHA NACHINGWEA KUJIFUNZA UCHIMBAJI GEITA, ATOA USHAURI WA NAMNA NZURI YA USIMAMIZI WA MIGODI

    June 26, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa