• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu Msingi

Malengo na majukumu ya idara ya elimu msingi.

 Kazi kubwa ya Idara ya Elimu Msingi ni kama ifuatavyo-:
•      Kuongeza uandikishaji kwa kuzingatia fursa sawa.
•      Kuinua ubora wa Elimu katika ngazi zote kwa Halmashauri.
•      Kusimamia uwezo wa utendaji kazi.
•      Kushughulikia masuala ya mtambuka na taratibu za kitaasisi.
•     Kufanya utafiti wa Kielimu,ufuatiliaji na tathmini za Kielelimu.
•      Kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika
•     Kuinua ubora wa mazingira ya Kufundishia na kujifunzia wanafunzi wote.
•      Kuongeza idadi ya madarasa na watoto wa shule za awali.
•      Kuhakikisha kuwa Elimu ya UKIMWI (VVU), Mazingira na stadi za maisha zinatolewa kwa ufanisi katika shule za msingi.
•     Kusimamia upatikanaji na uwezeshaji wa mazingira kwa wanafunzi wenye Ulemavu.
•      Mikakati  iliyopo  ili kuboresha elimu na kuinua kiwango cha taaluma na  kufanikisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.(BRN).
•      Kutekeleza shughuli muhimu kulingana na ufinyu wa bajeti uliopo.
•      Kuboresha Taaluma kwa kugawa maafisa Elimu kila kata kwa ajili ya ufuatiliaji wa karibu wa Taaluma na matatizo ya walimu.
•      Kuboresha miundo mbinu na mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa kutumia fursa zilizopo.
•      Kufanya vikao mbalimbali vya kila mwezi kati ya Maofisa Elimu, Waratibu na Walimu Wakuu kwa kuzingatia ratiba maalum iliyoandaliwa
•      Uendeshaji wa Semina mbalimbali za masomo na semina za kitaalamu na kufanya mrejesho shuleni.
•      Kuwajengea uwezo Kamati  za Taaluma kwa kila shule ili kuweza kufanya upimaji na tathimini kupata mweleko wa Maendeleo ya Wanafunzi.
•      Kuimarisha Vyama (Clubs) za masomo na k.k.k mashuleni  .
•      Kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Mfano Wazazi, watu binafsi na mashirika mbalimbal na Makampuni.

•   Shughuli za Elimu ya Watu wazima-
Kitengo hiki kinatekeleza  shughuli zifuatazo-:
  Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Waliokosa(MEMKWA)
  Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu Wazima na Jamii(MUKEJA)
  Program ya Elimu ya Sekondari Huria (PESH)
  Elimu Masafa na Ana kwa Ana (ODL)
 

Kitengo cha utamaduni
 Vilabu vya Michezo,na vikundi vya sanaa.Kusimamia matamasha na mashindano  mbalimbali ,sherehe za  kitaifa na Kimataifa.Pia kusimamia  ukusanyaji wa mapato katika kumbi za burudani,matangazo,viwanja vya wazi ,usajili na kumbi zilizopo.


ORODHA YA SHULE ZA MSINGI- GTC.pdf

Matangazo

  • Fomu za Kuijiunga Kidato cha Kwanza Shule ya Sekndari Nyankumbu na Geita December 29, 2020
  • TANGAZO LA KODI YA MAJENGO April 20, 2018
  • TANGAZO LA WAMILIKI WA VIWANJA VILIVYOSHINDWA KUENDELEZWA BOMBAMBILI NA MAGOGO May 28, 2018
  • TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI YA HESABU ZA KUISHIA TAREHE 30 JUNI 2017 June 29, 2018
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Mapato ya Ndani Kujenga Miradi ya Kimkakati

    March 04, 2021
  • Wananchi Wakumbushwa Kulipa Kodi Kwa Muda

    March 02, 2021
  • Geita Mji Yajipanga Kuepuka Mrundikano wa Wanafunzi

    February 15, 2021
  • Wananchi Watakiwa Kupinga Ukatili

    December 11, 2020
  • Zaidi

Video

Bombambili Bomba ndani ya Miaka 5 ya JPM
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa