Historia fupi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita
Ndugu Zahara Muhidin Michuzi aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Geita Tarehe 01/08/2021 akiwa ni Mkurugenzi wa nne tangu Mamlaka ya Mji Geita ilipopata hadhi ya Halmashauri ya Mji.
TAREHE YA KUZALIWA
|
02/09/1987 |
|
ELIMU
|
|
KIDATO CHA NNE, MWAKA 2002-2005 SHAHADA YA MASOMO YA UCHUMI, MWAKA 2011-2014 |
MAFUNZO MENGINE
|
MAFUNZO YA UANDISHI WA MAANDIKO YA MIRADI |
|
UZOEFU NA AJIRA
|
|
MICHUZI MEDIA GROUP OF COMPANIES MWAKA 2014-2018 WILAYA YA CHEMBA MKOANI DODOMA MWAKA 2018-AGOSTI 2021 HALMASHAURI YA MJI WA GEITA KUANZIA AGOSTI 2021 HADI SASA |
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa