• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Wananchi Wakumbushwa Kulipa Kodi Kwa Muda

Posted on: March 2nd, 2021

Wananchi Wakumbushwa Kulipa Kodi kwa Muda

Naibu Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mheshimwa Angelina Mabula amewakumbusha wananchi wa  Mkoa wa Geita kulipa kodi ya pango la ardhi kila mwaka  ili kutoingia kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa madeni ya Serikali.

Mhe. Mabula ametoa kauli hiyo alipokuwa akigawa hati miliki kwa baadhi ya wananchi wakati wa kikao chake na wataalam wa idara ya Ardhi kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Geita, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Nyerere , eneo maalum la uwekezaji kiuchumi Bombambili hivi karibuni.

Naibu Waziri wa Ardhi amewataka Maafisa Ardhi wateule kusimamia sheria ya ardhi kwa wadaiwa sugu ambao wanaendelea kukaidi takwa la kisheria la kulipa pango la ardhi wanazozimiliki kila mwaka kwa kuwachukulia hatua za kisheria ili iwe funzo kwa wengine ambao hawatambui umuhimu wa kulipa kodi hiyo.

Mhe. Mabula ametumia wasaa huo kuwakumbusha wataalam wa idara ya ardhi kutoka maofisini na kwenda kuwaeleimisha wananchi katika maeneo yao elimu mbalimbali kama thamani ya ardhi, umuhimu wa kumiliki ardhi na masuala mengine pasipo kusubiri mpaka waletewe malalamiko ya migogoro ya ardhi. Kadhalika  amezitaka Halmashauri kusaidia makampuni yaliyofanya shughuli ya upimaji kupata fedha zao baada ya kukamilisha kazi kwani taarifa inaonyesha makampuni yanazidai fedha nyingi Halmashauri.

Akitoa shukrani kwa niaba ya Serikali ya Mkoa wa Geita, Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Fadhili Juma amemshukuru Naibu Waziri wa Ardhi kwa kutembelea mkoa wa Geita na kuwakumbusha Maafisa Ardhi katika mkoa huo kutimiza wajibu wao kikamilifu na amemuahidi Naibu Waziri huyo kuwa atasimamia utekelezaji wa maelekezo yote aliyoyatoa na kuhakikisha yanafanyiwa kazi.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA MAOHOJIANO (ORAL INTERVIEW) KADA YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II September 29, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 05, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAHILI September 21, 2024
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BURIANI MHE DAVID CLEOPA MSUYA

    May 07, 2025
  • TWCC MKOA WA GEITA WAMEMKABIDHI HATI YA SHUKRANI MKURUGENZI MYENZI

    May 07, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA GEITA MHE. HASHIM A KOMBA KUTEMBELEA NJIA NA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 06, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAMPONGEZA MKURUGENZI MYENZI

    May 05, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • TUWE MFANO KWA TAIFA' Yefred Myenzi
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa