• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Ukamilifu wa jengo la Utawala la Ofisi ya Hamashauri ya Mji Geita

Posted on: July 10th, 2018

UKAMILIFU WA JENGO LA UTAWALA KUONDOA KERO YA MSONGAMANO

Imebainishwa kuwa kukamilika kwa jengo kubwa la ghorofa la utawala lenye majengo mawili( two in one) linalojengwa katika eneo la Magogo Kata ya Bombambili, Halmashauri ya Mji wa Geita kutawezesha kuondoa msongamano wa watumishi wa Halmashauri ya Mji Geita ambao kwa sasa wamebanana katika Ofisi ndogo zinazotumika kwa muda.

Kauli hiyo imebainishwa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Mhandisi Modest Apolinary hivi karibuni wakati akipokea jengo hilo kutoka kwa Mkandarasi aliyejenga,  baada ya ujenzi kukamilika kwa awamu ya kwanza.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita  amesema kuwa kutokana na msongamano wa watendaji katika Ofisi zinazotumika hivi sasa kunapunguza ufanisi wa kazi kwani muda mwingine huwalazimu watumishi kukaa kwenye viti kwa zamu. Hivyo jengo hilo litakapokamilika watumishi watapata ari mpya ya kutekeleza majukumu yao.

“Licha ya kutumika kama Ofisi, jengo hilo litakuwa kitega uchumi cha Halmashauri kwa sababu kutakuwa na maeneo yatakayopangishwa kwa Benki mbalimbali pamoja na kuwa na soko dogo la kuuzia dhahabu hivyo kuendelea kufungua fursa za kiuchumi katika Mji wa Geita.” Aliongeza Mhandisi  Modest Apolinary.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Geita, Mhe. Leonard Bugomola amesema kuwa jengo hilo la kisasa litabadili sura ya Mji wa Geita na kumuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri kutosimamisha ujenzi wa mradi huo badala yake kasi ya ujenzi iongezwe kwa kutumia mapato ya ndani yatakayokusanywa ili kukamilisha ujenzi mapema

Jengo la kisasa  la utawala la Halmashauri ya Mji wa Geita lilianza kujengwa mwaka 2016 umegharimu kiasi cha Shilingi bilioni 2.5 alizolipwa Mkandarasi na Shilingi Milioni 174 kwa msimamizi,  litakuwa na vyumba 114 vya Ofisi litawawezesha watu wote kulitumia wakiwemo walemavu ambao wamewekewa  njia zao kuanzia mwanzo hadi ghorofani na kila ghorofa kuwa na choo maalum kwa ajili ya walemavu.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA June 03, 2025
  • TANGAZO KUHUSU FURSA ZA MIKOPO YA ASILIMIA 10 May 27, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI WAKUMBUSHWA KUFANYA KAZI KWA UMOJA

    June 30, 2025
  • BONAZA LA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA

    June 28, 2025
  • WANANCHI WA MANISPAA YA GEITA WAKUMBUSHWA KUENDELEA KUFANYA USAFI

    June 28, 2025
  • DC KOMBA AWAKARIBISHA NACHINGWEA KUJIFUNZA UCHIMBAJI GEITA, ATOA USHAURI WA NAMNA NZURI YA USIMAMIZI WA MIGODI

    June 26, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa