• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Mradi Mkubwa wa Maji Kutekelezwa Geita Mji

Posted on: July 24th, 2019

Mradi Mkubwa wa Maji Kutekelezwa Geita Mji

Halmashauri ya Mji wa Geita inataraji kupokea neema ya kupata mradi mkubwa wa maji unaotarajiwa kuanza kutekelezwa hivi karibuni.

Akiwa ziarani katika Halmashauri ya Mji Geita hivi karibuni Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Juma Aweso amesema kuwa Serikali imetoa zaidi ya Dola Milioni 500 ambazo ni mkopo nafuu kutoka Serikali ya India kwa ajili ya kutekeleza Mradi mkubwa wa maji katika miji 28 Geita Mji ukiwa miongoni.

Naibu Waziri wa Maji alitoa pongezi kwa Mbunge wa Geita Mjini kwa kupigania na kuhakikisha utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji katika Mji wa Geita na kuahidi kabla yam waka kuisha wakandarasi watakuwa katika maeneo ya kazi. “Viongozi wa  Wizara ya Maji hawatokuwa kikwazo katika jitihada za Serikali kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama yanayotosheleza mahitaji.”Aliongeza Mheshimiwa Aweso.

Mheshimiwa Aweso alitumia fursa hiyo kuwaagiza wataalam wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini( RUWASA) kuhakikisha visima vilivyochimbwa havigeuki mapambo bali viwanufaishe wananchi. Pia kuanzishwa kwa RUWASA isiwe kichaka kwa wataalam wa maji kutotoa taarifa za utekelezaji kwa viongozi wa Mkoa na Wilaya katika maeneo yao pale zinapohitajika.

Kwa upande wake Mbunge wa Geita Mjini Mheshimiwa Costantine Kanyasu alitoa pongezi kwa Wizara ya Maji kwa kazi kubwa iliyofanyika kwenye mradi wa Dampo katika Mji wa Geita. Pia aliwasilisha ombi la kuunganishiwa maji katika vituo vya afya na zahanati zinazojengwa kama Nyamalembo, ambapo Naibu Waziri ameahidi baada ya kipindi kifupi ataagiza wataalam wake kufika kwa ajili ya kufanya utafiti.

Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita Diwani wa Kta ya Kalangalala Mheshimiwa Zephania Mahushi aliomba kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Mgusu kupatiwa huduma ya maji kutoka katika bomba kubwa la maji linalotoka Nungwe kwenda Geita mjini ambalo linapita katika kata yao lakini wao wamekuwa ni walinzi tu wa bomba hilo kwani huduma ya maji katika kata hiyo ni duni sana.

 Mheshimiwa Aweso katika ziara yake ametembelea uchimbaji wa kisima kirefu katika kijiji cha Manga kata ya Mgusu ambacho kitakamilika katika mwaka wa fedha 2019/2020 na kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 22, ujenzi wa kisima katika mtaa wa Kasamwa na ukaguzi wa kisima kilichokamilika na kinachohudumia wananchi katika kijiji cha Bulela.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA June 03, 2025
  • TANGAZO KUHUSU FURSA ZA MIKOPO YA ASILIMIA 10 May 27, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI WAKUMBUSHWA KUFANYA KAZI KWA UMOJA

    June 30, 2025
  • BONAZA LA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA

    June 28, 2025
  • WANANCHI WA MANISPAA YA GEITA WAKUMBUSHWA KUENDELEA KUFANYA USAFI

    June 28, 2025
  • DC KOMBA AWAKARIBISHA NACHINGWEA KUJIFUNZA UCHIMBAJI GEITA, ATOA USHAURI WA NAMNA NZURI YA USIMAMIZI WA MIGODI

    June 26, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa