Mafunzo ya utoaji mikopo kwa vikundi vya vijana wanawake na watu wenye ulemavu ngazi ya Halmashauri. Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Geita Ndg. Yefred Myenzi asisitiza Kamati zote za utoaji mikopo kwa vikundi vya vijana,wanawake na watu wenye ulemavu ngazi ya Halmashauri kusimamia mchakato mzima wa mikopo kwa weredikuanzia uombaji hadi urejeshaji.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa