• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Madiwani watakiwa kusimamia vyema Miradi ya Maendeleo

Posted on: February 7th, 2018

Madiwani Waagizwa Kusimamia kikamilifu Miradi ya Maendeleo

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh. Mhandisi Robert Gabriel amewaagiza Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Geita kuchagua miradi ambayo itapewa kipaumbele na wananchi husika kwa lengo la kuanzishwa au kuendelezwa, na kuhakikisha wanaisimamia vyema miradi hiyo ili iwe endelevu.

Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani hivi karibuni,  baada ya kuonekana kwa mfumo uliokuwa umezoeleka wa Kampuni ya Dhahabu ya Geita kuchagua miradi ambayo wanaitekeleza katika jamii kupitia mchango wao kwa jamii inayowazunguka, pasipo ushirikishwaji wa awali wa kuchagua kwa pamoja miradi ya maendeleo pamoja na wananchi waishio katika maeneo ya utekelezaji mradi.

“Miradi inayopangwa kutekelezwa na GGM inatakiwa ipendekezwe na watumiaji ambao ni jamii inayotambua vipaumbele vyake. Wananchi wana matumaini makubwa na Madiwani kwa sababu nyie ndio wawakilishi wao na mna majibu sahihi kwa wananchi waliowachagua ili kuwasaidia katika utatuzi wa changamoto zinazowakabili”. Aliongeza Mhandisi Robert Gabriel.

Mkuu wa Mkoa wa Geita pia amewatahadharisha watumishi wa Umma na watu wote wanaohusishwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutovuruga, kuchezea fedha au kuyumbisha uchumi wa Mkoa wa Geita kwa namna yeyote. Mtu wa namna hiyo hatavumiliwa bali atachukuliwa hatua madhubuti za kisheria.

Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Geita amewasihi watumishi wa Umma wasio waaminifu ambao hutumia fedha za miradi kujinufaisha wao binafsi kuacha tabia hiyo, kwa sababu watu hao wamekuwa wakikwamisha maendeleo ya Mkoa na wanatakiwa kushughulikiwa ili kuwa na miradi yenye ufanisi.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA MAOHOJIANO (ORAL INTERVIEW) KADA YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II September 29, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 05, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAHILI September 21, 2024
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BURIANI MHE DAVID CLEOPA MSUYA

    May 07, 2025
  • TWCC MKOA WA GEITA WAMEMKABIDHI HATI YA SHUKRANI MKURUGENZI MYENZI

    May 07, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA GEITA MHE. HASHIM A KOMBA KUTEMBELEA NJIA NA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 06, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAMPONGEZA MKURUGENZI MYENZI

    May 05, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • TUWE MFANO KWA TAIFA' Yefred Myenzi
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa