Mkurugenzi wa manispaa ya Geita Ndugu Yefred Myenzi amebainisha Kuwa Halmashauri inatambua nafasi ya madereva kwenye kufanikisha maendeleo ya Taifa,
Mkurugenzi Yefred Myenzi ameyasema hayo akiwa katika Kikao Maalum na Madereva wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita kilichofanyika leo Mei 12 2025 katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Ofisi ya Mkurugenzi Magogo.
Mkurugenzi Yefred Myenzi amewasisitiza Madereva wa Serikali Manispaa ya Geita kutunza siri za viongozi na kutengeneza mfumo mzuri wa uwajibikaji na kutii alama za barabarani kwa kujali Usalama wa Vyombo vya usafiri na kuwa na nidhamu kila Wakati.
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Instagram
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa