• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Halmashauri ya Mji wa Geita yatoa pikipiki kwa Maafisa Ugani

Posted on: April 5th, 2018

Maafisa Ugani wapatiwa Pikipiki Geita

Halmashauri ya Mji wa Geita imetoa pikipiki nne kwa Maafisa kilimo wa Kata ili waweze kutimiza wajibu wao wa kuwatembelea na kukagua shughuli zinazofanywa na wakulima katika maeneo yao.

Akikabidhi pikipiki hizo,tarehe 05/4/2018 katika Ofisi za Halmashauri ya Mji Geita,  Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ameipongeza timu ya Menejimenti ya Halmashauri kwa kuona umuhimu wa kununua pikipiki hizo ili ziweze kuwasaidia wataalam wa kilimo kutekeleza majukumu yao ya kila siku katika kutoa huduma za ugani kwa wakulima.

Mkuu wa Mkoa wa Geita amewataka Maafisa ugani waliopatiwa pikipiki hizo wafanye kazi zao kwa weledi mkubwa katika kuwafikia wakulima wengi zaidi na kutoa huduma stahiki na tahmini ya kina ifanyike juu ya ufanisi wa Maafisa ugani wote wenye vyombo vua usafiri.

Mhandisi Robert Gabriel amefafanua kuwa Mkoa wa Geita umejipanga kuanzisha kilimo cha korosho ili kuongeza mazao ya biashara, hivyo ujio wa pikipiki hizo utasaidia sana kutembea na kubaini maeneo mbalimbali yanayofaa kwa kilimo cha zao la korosho.

Mkuu wa Mkoa wa Geita ametumia fursa hiyo kuziagiza Halmashauri zote za Mkoa wa Geita kuiga mfano thabiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kufikisha lengo la asilimia 100 kwa kuwawezesha Maafisa Ugani wote nyenzo za usafiri ili wakasimamie shughuli za kilimo. Pia watenge asilimia 10 ya mapato yatokanayo na ushuru wa mauzo ya pamba ili fedha hizo zisaidie kutoa huduma za ugani ikiwa ni pamoja na kununua pikipiki.

Kwa upande wao Maafisa Ugani wa Kata za Bung’wangoko na Mtakuja, Ndg. Allan Kisomeko na Jackline Otieno kwa niaba ya wenzao wameishukuru Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kuwapatia vyombo vya usafiri vitakavyowawezesha kufanya kazi kurahisi na kuwafikia wakulima wengi kwa muda mfupi, tofauti na awali walipokuwa wakitembea kwa miguu au kutumia usafiri wa baiskeli kuwafuata wakulia katika maeneo yao ndani ya Kata wanazozihudumia.

Halmashauri ya Mji wa Geita imetoa pikipiki nne aina ya Honda ambazo zimegharimu kiasi cha Shilingi 12,800,000/= kufuatia agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Kassimu Majaliwa alipofanya kikao na Wakuu wa Mikoa kumi inayozalisha zao la pamba nchini mwezi Septemba 2017 mjini Dodoma, ambapo aliziagiza Halmashauri zote katika Mikoa hiyo kununua pikipiki kwa ajili ya Maafisa ugani wao ili waweze kuwafikia wakulima wengi kwa muda mfupi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA MAOHOJIANO (ORAL INTERVIEW) KADA YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II September 29, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 05, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAHILI September 21, 2024
  • Zaidi

Habari Mpya

  • BURIANI MHE DAVID CLEOPA MSUYA

    May 07, 2025
  • TWCC MKOA WA GEITA WAMEMKABIDHI HATI YA SHUKRANI MKURUGENZI MYENZI

    May 07, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA GEITA MHE. HASHIM A KOMBA KUTEMBELEA NJIA NA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 06, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAMPONGEZA MKURUGENZI MYENZI

    May 05, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • TUWE MFANO KWA TAIFA' Yefred Myenzi
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa