Jumla ya vikundi 81 kutoka katika kata 13 za Halmashauri ya Mji wa Geita vimeaanza kunufaika na mikopo ya asilimia kumi ili kujikwamua kiuchumi.Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim KombaJana Novemba 25 akiwa katika ukumbi wa mikutano wa GEDECO Mjini Geita wakati akizungumza na wajasiriamali ambao ndio wanufaika wa mikopo hiyo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Geita Ndg. Yefred Myenzi amesema katika maboresha ambayo yamefanyika katika kuhakikisha wananchi wa Halmashauri ya Mji Geita wananufaika na fedha hizo ni pamoja na kuongeza umri wa wanufaika hadi kufikia umri wa miaka 45.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa