Halmashuri ya Mji Geita imeshika nafasi ya 8 kati ya Halmashauri 184 za Tanzania bara katika tuzo za Halmashauri ambazo zimefanya vizuri katika kuhabarisha umma kupitia Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
Hafla ya ugawaji wa tuzo hizo umefanyika leo tarehe 21 Juni, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye akimkabidhi Tuzo na cheti Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka katika Halmashauri ya Mji Geita Ndg. Trovina Kikoti
Halmashauri ya Mji Geita inawashukuru wadau wote ambao kwa namna moja hadi nyingine wamechangia kuyafikia mafanikio haya.
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa