Katika kusherehekea kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba, Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Ndugu Yefred Myenzi Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Geita Bi. Janeth Mobe Pamoja na watumishi wengine wa Serikali leo tarehe 27 Januari wameungana na wanafunzi wa shule ya wasichana Geita Girls katika hafla ya kukata Keki maalum ikiwa ni namna ya kumshukuru na kumtakia kheri Mheshimiwa Rais katika siku yake ya kuzaliwa.
MATUKIO MBAIMBALI KATIKA PICHA
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa