Hatua za kufuata ili kupata kadi ya TIKA
1. Nenda katika kituo cha afya au zahanati ya Serikali iliyo jirani na unapoishi
2. Lipia Shilingi elfu kumi( 10,000) kwa ajili ya kupata kadi itakayokuwezesha kupata matibabu kwa kipindi cha mwaka mmoja katika vituo vyote vya afya vya Serikali ndani ya Halmashauri ya Mji wa Geita
3. Kadi ya TIKA itatumika kutoa matibabu kwa mtu mmoja tu
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa