Mwanachi yeyote mwenye kero au malalamiko yanayohitaji ufumbuzi kutoka Halmashauri ya Mji wa Geita anatakiwa kuwasilisha malalamiko yake kwa njia ya mdomo( ana kwa ana), Kwa maandishi yani barua au kupitia Barua pepe ya Halmashauri.
Wasilisha Malalamiko katika Ofisi ya Malalamiko, jengo la Idara ya Maendeleo ya Jamii. au kupitia anwani ifuatayo
Afisa Malalamiko, Halmashauri ya Mji Geita, S.L.P 384 Geita na kupitia barua pepe ambayo ni:- amaniabasi@yahoo.com
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa