TARATIBU ZA KUFUATA NA VIAMBATANISHO WAKATI WA KUSAJILI KIKUNDI CHA UJASIRIAMALI
1. Kikundi kiwe na katiba
2. Kuwe na barua ya maombi ya kusajili kikundi kwenda kwa Mkurugenzi wa Mji na iwe imepitishwa na Afisa Mtendaji wa kata na Mtendaji wa Mtaa
3. Kuwepo na muhtasari wa kikao kilichojadili usajili wa kikundi
4. kuwe na muhtasari wa Mtendaji wa Mtaa kuthibitisha uwepo wa kikundi
5. Kulipia shilingi 10,000/=( elfu kumi) Katika Benki ya NMB Geita kama ada ya usajili na shilingi 5,000/=( elfu tano) italipwa Halmashauri ya Mji kama gharama ya kutengeneza cheti.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa