Ili kupata Leseni ya biasahara mfanyabiashara anatakiwa kufuata hatua zifuatazo kabla hajaanzisha biashara yake
1. Kujaza fomu ya maombi ya Leseni
2.Kuambatanisha hati ya mlipa kodi ( Tin number)
3. Kuwa na kibali cha mlipa kodi
4. Ambatanisha nakala ya kuandikisha jina la biashara kama umesajili BRELA
5. Kusajiliwa kwenye mtandao wa Serikali za Mitaa
6. Kulipia ada ya leseni Benki
7. Kupewa stakabadhi ( risiti) kutoka Halmashauri
8. Kupatiwa Leseni ya biashara
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa