Uwepo wa raslimali ya madini ya dhahabu katika Mji wa Geita umepelekea sehemu kubwa ya jamii katika mji huu kujishughulisha na uchimbaji pamoja na uchenjuaji wa Dhahabu katika maeneo mbalimbali hususan kata za Mtakuja na Mgusu. Wananchi wanapata fedha za kujikimu wao na familia zao lakini Taifa huingiza fedha kutokana na mapato ya madini hayo.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa