Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita anawataarifu waombaji wa kazi ya Mtendaji wa Mtaa III kutakuwa na usaili kwa waombaji wenye sifa. Maelezo zaidi na Orodha ya walioitwa bofya kiambatanisho chenye maandishi ya bluu Kuitwa kwenye Usaili.pdf
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa