Thursday 31st, October 2024
@GEITA MJI
Afisa Muandikishaji wa Jimbo La Geita Mji anatoa wito kwa wananchi wote wenye sifa na wapiga kura wa Jimbo la Geita kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, zoezi linalotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 05 hadi 11 Agosti, 2024.
Uboreshaji huu wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaenda sambamba na kauli mbiu inayosema;
"Kujiandisha kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora"
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa